Yanga yawasili Dodoma, mapambano yanaendelea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Mar 2026
Yanga yawasili Dodoma, mapambano yanaendelea

Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Dodoma wakitoka Arusha ambako jana walikamilisha mechi ya ligi kuu dhidi ya TRA United na kulazimishwa suluhu ya bila kufungana.

Yanga itakuwa na siku mbili za kujiandaa kabla ya kuikabili Mtibwa Sugar siku ya Jumamosi, March 21 katika uwanja wa Jamhuri.

Ni kipindi kigumu kwa wachezaji kwani hakuna muda mrefu wa kupumzika kutoka mechi moja kwenda nyingine.

Baada ya kukosa ushindi katika mechi mbili zilizopita, Yanga inazihitaji alama zote tatu katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ili kuanza vyema mechi za lala salama duru ya pili.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kituo kinachofuata ni Kagera Sugar
Kituo kinachofuata ni Kagera Sugar
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
3h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
15h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
19h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
23h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1d ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’