Heri ya Sikukuu ya Eid el-Fitr kwa familia yote ya wapenzi, wanachama, mashabiki wa Yanga na Watanzania wote kwa ujumla.
Tunaposherehekea kukamilika kwa mfungo mtukufu, tuendelee kudumisha upendo, umoja, na mshikamano wetu kama Wananchi.

Eid Mubarak Wananchiiiiiiii...!
ADVERTISE HERE