Diarra atakosa mechi hizi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2026
Diarra atakosa mechi hizi

Baada ya Kamati ya uendeshaji na usimamiwa wa ligi ya Bodi ya ligi kumfungia mechi tatu mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra kutokana na matukio yaliyojitokeza kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Diarra ataanza kutumikia adhabu hiyo kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons, April 04.

Diarra pia atakosa mchezo utakaofuata ligi kuu ya NBC dhidi ya Pamba Jiji utakaopigwa April 08 na pia kukosa mchezo wa tatu dhidi ya TMA hatua ya 16 bora kombe la CRDB.

April 16 Diarra anaweza kurejea langoni kwenye mchezo dhidi ya Mbeya City na mechi nyingine zitakazofuata.

Katika kipindi ambacho Diarra atakosekana, Yanga itawategemea langoni Aboutwalib Mshery na Hussein Masalanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’