Kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezini kuanza maandalizi ya mechi zinazofuata za ligi kuu na kombe la CRDB ambapo siku ya Jumamosi Wananchi watashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Tanzania Prisons.
Ilikuwa siku ya furaha kwa wachezaji wa Yanga waliopokea kwa tabasamu urejeo wa kocha Msaidizi Abdulhamid Moalin aliyeanza majukumu yake leo.








ADVERTISE HERE