Okello aiwahi Tanzania Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Apr 2026
Okello aiwahi Tanzania Prisons

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Allan Okello ni miongoni mwa wachezaji walioripoti kambini leo kwa ajili ya maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Jumamosi, April 04 uwanja wa KMC Complex.

Okello alirejea Uganda kwa ajili ya majukumu ya timu ya Taifa akiungana na mastaa wengine ambao walikabiliwa na majukumu kama hayo.

Wachezaji hao ni nahocha Bakari Mwamnyeto, Mohamed Hussein na Mudathir Yahya ambao walikuwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kilichoshiriki FIFA Series nchini Rwanda huku Duke Abuya akiiongoza Harambee Stars akiwa nahodha katika mashindano kama hayo.

Nyota wote tayari wamerejea kuendelea na majukumu yao.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’