Dube arejea Yanga ikijifua Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Apr 2026
Dube arejea Yanga ikijifua Avic Town

Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube leo amerejea rasmi kikosi akiungana na wachezaji wenzake kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons.

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, April 04 kwenye uwanja wa KMC Complex.

Dube anakamilisha idadi ya nyota wanne waliokuwa majeruhi ambao wamerejea kikosini akiungana na Depu, Chadrack Boka, Edmund John na Ibrahim Hamad 'Bacca'.

Aidha Yanga leo imeingia rasmi kambin Avic Town kujiandaa na mtanange huo dhidi ya Prisons.

Awali Yanga ilikuwa ikijifua uwanja wa KMC Complex wakati maaboresho yakifanyika Avic Town.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’