Ngosha Damaro alivyopokelewa Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Apr 2026
Ngosha Damaro alivyopokelewa Mwanza

Kikosi cha Yanga kiliwasili jijini Mwanza majira ya usiku tayari kuwakabili wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC utakaopigwa siku ya Jumatano.

Kiungo Mohamed Damaro Camara maarufu 'Ngosha' alipokelewa kwa shangwe kubwa na mashabiki wa soka jijini Mwanza ambao waliisubiri timu yao hadi 'usiku mnene'.

Damaro amekuwa gumzo tangu aliposajiliwa na Yanga akitokea klabu ya Singida BS.

Ni juzi tu Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF_ lilitupilia mbali madai ya klabu ya Simba waliokuwa wakipinga uhalali wa Yanga kumsajili kiungo huyo kama mchezaji wa ndani.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
15m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’