GSM alishasema, 'YANGA BINGWA'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Apr 2026
GSM alishasema, 'YANGA BINGWA'

Mwanzoni mwa msimu Mfadhili/Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamed 'GSM' alitamka ile kauli yake maarufu 'YANGA BINGWA'.

Kauli hii imepata umaarufu kwa sababu GSM aliiasisi tangu msimu wa 2021/22, tangu msimu huo Yanga imetwaa ubingwa wa ligi kuu.

Msimu huu Yanga inalisaka taji la tano mfululizo ambapo mpaka sasa Wananchi wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama nane.

Mwezi uliopita ulikuwa mgumu kwa Yanga kutokana na mfululizo wa mechi, takribani mechi nne zikitoa matokeo ya sare.

Lakini mpaka sasa unaweza kusema hesabu za Wananchi ziko salama. Kwani baada ya Simba na Azam Fc nazo kudondosha alama katika mechi mbili mfululizo, Yanga ina uhakika wa kukaa kileleni kwa tofauti ya alama tano hata ikitokea Simba wameshinda mchezo wa kiporo.

Yanga sasa ina mechi 12 za kuhakikisha ubingwa unarudi Jangwani kwa msimu wa tano mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’