Baada kukusanya alama sita na mabao sita katika mechi mbili zilizopita za ligi kuu ya NBC, kikosi cha Yanga sasa kinaelekeza nguvu zake kwenye michuano ya kombe la CRDB.
Kesho Jumamosi, April 11 Wananchi wataikaribisha TMA Stars katika mchezo wa hatua ya 16 bora utakaopigwa uwanja wa kMC Complex, saa 12:30 jioni.
Ushindi katika mchezo huu utawahakikishia mabingwa hao watetezi kutinga robo fainali.
Hii hapa ratiba ya mechi zote za 16 bora

ADVERTISE HERE