Baada ya kujiimrisha kileleni mwa msimamo wa ligi, Wananchi sasa wanahamisha nguvu zao kwenye michuano ya kombe la CRDB.
Jioni ya leo Yanga itashuka uwanja wa KMC Complex kuikaribisha TMA Stars katika mchezo wa hatua ya 16 bora.
Wananchi wanahitaji ushindi ili kutinga robo fainali ya michuano hiyo ambayo wameibuka mabingwa kwa misimu minne mfululizo.

ADVERTISE HERE