Diarra amaliza adhabu baada ya kukosa mechi tatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Apr 2026
Diarra amaliza adhabu baada ya kukosa mechi tatu

Mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra yuko tayari kurejea kikosini baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa mechi tatu.

Diarra ambaye alisimamishwa baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, alikosa michezo dhidi ya Tanzania Prisons, Pamba Jiji na TMA Stars.

Licha ya kukosekana kwake katika mechi hizo, Yanga iliibuka na ushindi kwenye kila mechi bila ya kuruhusu bao.

Aboutwalib Mshery alidaka mchezo dhidi ya Tanzania Prisons wakati Hussein Masalanga akikaa langoni katika michezo dhidi ya Pamba Jiji na TMA Stars.

Bila shaka Diarra atarejea langoni kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Alhamisi, April 16 katika uwanja wa KMC Complex.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’