Vinara wa ligi kuu ya NBC, Yanga leo Alhamisi, April 16 watashuka dimba la KMC Complex kuikabili Mbeya City katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC.
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 12:30 jioni.

ADVERTISE HERE