Maandalizi ya nusu fainali Muungano Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Apr 2026
Maandalizi ya nusu fainali Muungano Cup

Baada ya kuifumua Muembe Makumbi mabao 4-0 hapo jana na kukata tiketi ya nusu fainali ya kombe la Muungano, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo unaofuata hatua ya nusu fainali.

Yanga inamsubiri mshindi wa mchezo wa robo fainali ya pili kati ya KVZ dhidi ya Azam Fc utakaopigwa leo.

Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves leo aliwapa wachezaji wake program maalum ya 'kupoza miili' kwa wachezaji waliotumika jana huku wengine ambao hawakutumika wakifanya program tofauti ya mazoezi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’