FT : Yanga 2-1 Azam Fc, Muungano Cup SF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2026
FT : Yanga 2-1 Azam Fc, Muungano Cup SF

Yanga imetinga fainali ya kombe la Muungano baada ya kuichapa Azam Fc mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzbar.

Mabingwa hao watetezi wa michuano hiyo walianza kwa kasi na wakifunga mabao yote mawili kwenye kipindi cha kwanza kutipia kwa Prince Dube na Maxi Nzengeli.

Dube alifunga bao la kwanza akimalizia pasi ya Allan Okello kabla ya Maxi kuongeza bao la pili kupitia pasi ya Dube.

Pengine mambo yangekuwa mabaya zaidi kwa Azam Fc kwani Yanga ilitengeneza nafasi nyingi kwenye kipindi cha kwanza lakini wakatumia nafasi mbili tu.

Kipindi cha pili Azam Fc ilirejea ikiwa imara zaidi huku Yanga ikicheza kwa tahadhari kulinda uongozi wao.

Alikuwa ni Feisal Salum aliyefunga bao la kufutia machozi kwa upande wa Azam Fc.

Ni ushindi ambao umeitanguliza Yanga fainali sasa wakisubiri mshindi wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Mlandege Fc nusu fainali ya pili utakaopigwa kesho Jumapili.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’