Waamuzi kutoka Morocco wapewa Derby May 03

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Apr 2026
Waamuzi kutoka Morocco wapewa Derby May 03

Joto la kuelekea mchezo wa ligi kuu, Kariakoo Derby linaendelea kupanda ambapo taarifa zisizo na shaka ni kuwa mchezo huo utakaopigwa May 03, utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Morocco.

Inaelezwa Shirikisho la soka nchini Morocco lilipokea maombi kutoka TFF ambapo Shirikisho hilo limeteuwa waamuzi wa kusimamia mtanange huo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali.

Kwa muhibu wa taarifa, mwamuzi wa kati atakuwa Hamza El Faruq, akisaidiwa na waamuzi wasaidizi Hamza En Nassri pamoja na Lassene Azkawi, wote wakitoka Morocco.

Mchezo huo wa watani wa jadi unatarajiwa kuchezwa Jumapili, Mei 3, katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Stadium uliopo Mbweni, Dar es Salaam, kuanzia saa 12 jioni.

Huu ni mchezo wenye uzito mkubwa si tu kwa mashabiki bali pia katika mbio za NBC Premier League, ambapo kila timu inahitaji alama tatu muhimu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’