Uwanja wa Isamuhyo mmh..

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 May 2026
Uwanja wa Isamuhyo mmh..

Kikosi cha Yanga leo majira ya saa 12 muda wa mchezo kimefika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa ajili ya kukamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo dhidi ya Simba hapo kesho.

Ni katika kukamilisha matakwa ya kanuni ambapo timu mgeni anapata nafasi ya kukamilisha maandalizi yake kwenye uwanja wa mechi.

Hata hivyo hali ya uwanja huo, haikuridhisha kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam.

Ukweli ni kwamba kama mchezo huo ungekuwa unachezwa leo, ni wazi isingewezekana.

Hata hivyo jambo hilo wameachiwa TFF na Bodi ya ligi kwani ndio wenye mamlaka na maamuzi kwa kuzingatia hali halisi.

Lakini pia kulitokea sintofahamu baada ya Yanga kumaliza mazoezi, klabu ya Simba ilifika kwenye uwanja huo.

Kanuni zinaelekeza timu mgeni ndio inayohitimisha maandalizi mwisho lakini Simba wamefika na kutaka kuingia uwanjani baada ya Yanga kumaliza maandalizi.

Hali hiyo ilipelekea mvutano huku Yanga nao wakigoma kutoka uwanjani.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’