Yanga yafikisha unbeaten 40 Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 May 2026
Yanga yafikisha unbeaten 40 Ligi Kuu

Baada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba jana, kikosi cha Yanga kimeendeleza rekodi ya kutopoteza mchezo kwenye ligi kuu sasa wakifikisha mchi 40.

Mara ya mwisho Yanga kupoteza mchezo wa ligi kuu ni Novemba 07 2024 ikipokubali kipigo cha mabao 3-1 dhidi ya Tabora United (sasa TRA United).

Yanga imebakisha mechi 9 kufikia rekodi yake ya unbeaten 49 waliyoweka misimu miwili iliyopita.

Kama Wananchi hawatapoteza mchezo katika mechi 10 zilizobaki, ni wazi watavunja rekodi yao ya mechi 49.

Katika historia, Yanga ndio inayoshikilia rekodi ya kucheza mda mrefu zaidi bila kupoteza mchezo ligi kuu, ikiwa namba moja na mbili (49 na 40) huku Azam Fc na Simba zikifuatia na unbeaten 37 kila moja.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’