Vichwa vitatu vinavyoongoza benchi l ufundi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 May 2026
Vichwa vitatu vinavyoongoza benchi l ufundi Yanga

Baada ya Kocha Pedro Goncalves kufutwa kazi, benchi la ufundi la Yanga sasa litakuwa chini ya makocha watatu ambao watashirikiana kuhakikisha wanatetea mataji mawili yaliyosalia yaani ligi kuu na kombe la CRDB.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ametoa mpangilio wa majukumu kwa benchi la ufundi hasa nafasi ya Kocha Mkuu na Kocha Msaidizi.

Kama ilivyoeleza taarifa ya Yanga jana, Abdilhamid Moalin alitangazwa kama Kaimu Kocha Mkuu, Kamwe amebainisha kuwa Kocha Patrick Mabedi nae atashirikiana na Moalin wote wakiwa ni Makocha Wakuu.

Aidha nafasi ya Kocha Msaidizi itaendelea kuhudumiwa na Matthew Silva ambaye alihudumu kwenye nafasi hiyo hata wakati wa Goncalves.

Baada ya ushindi dhidi ya KMC jana, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Jumamosi, May 09 uwanja wa KMC Complex.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’