Yanga yaridhia Nsajigwa kujiuzulu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2018
Yanga yaridhia Nsajigwa kujiuzulu
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema wameridhia uamuzi wa aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo Shedrack Nsajigwa kujiondoa baada ya Mkataba wake kumalizika.

Mkwasa amesema mktaba wa Nsajigwa ulimalizika muda na walisitisha mpango wa kumuongeza mkataba mwingine baada ya kutoridhishwa na uwezo wake.

Mkwasa amesema Yanga inahitaji kocha mwenye uzoefu zaidi.

"Nsajigwa bado anahitaji uzoefu zaidi kuweza kufundisha timu kama Yanga. Hivyo ni jambo jema kwa kuwa mwenyewe amebaini uwezo wake haulingani na majukumu aliyopewa."

"Sisi kama sisi hatuwezi kumzuia kuondoka kwa sababu ameamua yeye mwenyewe. Tunatafuta kocha mwenye sifa sahihi kujaza nafasi yake," amesema Mkwasa.

Kocha wa Kagera Sugar, Meck Mexime ndiye anayehusishwa kurithi mikoba ya Nsajigwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’