Diarra bado anaongoza 'Golden Glove'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 May 2026
Diarra bado anaongoza 'Golden Glove'

Licha ya kukosa takribani mechi nne za ligi kuu tatu zikiwa ni adhabu ya kufungiwa, mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra bado anaongoza orodha ya magolikipa wenye cleen-sheet nyingi.

Juzi aliongeza cleen-sheet nyingine kwenye mchezo dhidi ya KMC na hivyo kumfanya afikishe cleen-sheet 11 msimu huu.

Diarra anafuatiwa na Jean Noel wa TRA United mwenye cleen-sheet 10 huku Aishi Manula (Azam Fc) na Mohamadou Kassali (Simba) wakiwa na 9 kila mmoja.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’