Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Airtel Mtipa mkoani Singida kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa kesho Jumatano katika uwanja huo.
Yanga ilitua Singida mapema leo wakitokea Dodoma ambako waliweka kambi ya siku moja kujiandaa na mchezo huo huo.








ADVERTISE HERE