Goncalves, Okello watwaa tuzo za ligi kuu April

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2026
Goncalves, Okello watwaa tuzo za ligi kuu April

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Pedro Goncalves amechaguliwa kuwa kocha bora wa ligi kuu kwa mwezi April 2026.

Goncalves ametwaa tuzo hiyo baada ya kuiongoza Yanga kushinda mechi zote za ligi zilizochezwa mwezi April.

Hata hivyo Goncalves tayari ameondoka Yanga mkataba wake ukisitishwa kwa makubaliano ya pande mbili.

Kiungo mshambuliaji Allan Okello nae ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi April.

Okello alikuwa nguzo muhimu ya mafanikio ya Yanga kwa mwezi April.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’