FT : Dodoma Jiji 3-2 Yanga, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2026
FT : Dodoma Jiji 3-2 Yanga, NBC PL

Yanga imeacha alama zote tatu mkoani Singida wakikubali kipigo cha mabao 3-2 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo uliopigwa uwanja wa Airtel, Mtipa mkoani Singida.

Unaweza kusema ni mechi ambayo Wananchi waliandikiwa kupoteza kwani walitengeneza nafasi nyingi na kuzipoteza utulivu ukikosekana mbele ya lango.

Allan Okello alifunga mabao yote ya Yanga huku nahodha Bakari Mwamnyeto akijifunga na Dodoma Jiji wakifunga mabao mawili dakika za lala salama kupitia Kibuta na Waziri Junior.

Ni matokeo ya mpira wa miguu, hesabu bado ziko salama upande wa Yanga lakini matokeo haya watapaswa kuwaamsha wachezaji wa Yanga kuongeza ukatili mbele ya lango.

Kwani mchezo wa leo pengine wangeweza kuondoka na ushindi mnono kama sio kupoteza nafasi nyingi, mshambuliaji Prince Dube pengine hatapata usingizi leo kwa kile kilichotokea kwani angeweza kuondoka na hat-trik katika mchezo huo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’