FT : JKT Tanzani 0-2 Yanga, CRDB Cup QF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2026
FT : JKT Tanzani 0-2 Yanga, CRDB Cup QF

Yanga imetinga nusu fainali ya kombe la CRDB baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa robo fainali uliopigwa uwanja wa Isamuhyo.

Ulikuwa mchezo ulioanza kwa kasi kubwa JKT Tanzania wakianza vyema dakika 15 za kwanza kusaka bao la mapema.

Hata hivyo ni Yanga waliotangulia kwa bao la kujifunga Hassan Wahabi kwenye dakika ya 33 wakati akijaribu kuokoa krosi ya Chadrack Boka.

Yanga waliongeza bao la pili dakika ya 40 kupitia kwaMudathir Yahya aliyemalizia pasi mpenyezo iliyopigwa na Mudathir Yahya.

Mabingwa watetezi waikwenda mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 2-0.

Kipindi cha pili Yanga iliendelea kutawala na kutengeneza nafasi zaidi lakini mpaka dakika 90 zinakamilika ushindi ulibaki mabao 2-0.

Yanga sasa inatinga nusu fainali ikiungana na Coastal Union mapema ilitng hatua hiyo kwa ushindi wa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya Singida BS baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya Singida BS.

Hatua ya nusu fainali Yanga itacheza dhidi ya mshindi wa mchezo mwingine wa robo fainali kati ya Mashujaa Fc dhidi ya Azam Fc.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
27m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’