Meneja wa Zimbwe Jr avunja ukimya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 May 2026
Meneja wa Zimbwe Jr avunja ukimya

Siku za karibuni zimeibuka propaganda zinazomuhusu beki wa Yanga Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' ambaye hajaonekana uwanjani kwenye mechi kadhaa zilizopita kutokana na changamoto ya majeraha.

Meneja wa mchezaji huyo Carlos Mastermind amejitokeza kutoa ufafanuzi kuhusu suala hilo akisisitiza kuwa hakuna changamoto yoyote baina ya uongozi wa Yanga na Zimbwe Jr.

Carlos amethibitisha kuwa Zimbwe Jr hana madai yoyote kwa uongozi wa Yanga kwani fedha zake zote za usajili alishalipwa.

"Napokea simu nyingi na sms kuhusu hii kitu, Mohammed alipata majeraha kwenye mechi ya Ligi dhidi ya Mbeya City pale KMC Complex na club ilitoa hii statement, anaendelea na matibabu vizuri hajawa 100% Fit."

"Mohammed haidai club, Yanga paid 100% of his Signing-on Fees and all the agreed renumeration. He’s very Happy with the new Environment," aliandika Carlos kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii akimaanisha Yanga ililipa kwa asilimia 100 makubaliano yote ya fedha za usajili.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’