Vijana Yanga waanza kwa suluhu michuano ya Uhai

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2018
Vijana Yanga waanza kwa suluhu michuano ya Uhai
Michuano ya Uhai Cup inayoshirikisha timu za vijana chini ya umri wa miaka 20, imeanza leo mkoani Dodoma kwa Yanga kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Ruvu Shooting.

Licha ya kucheza vizuri, Yanga iliangushwa na safu yake ya ushambuliaji kwa kukosa mabao kadhaa ya wazi.



Michuano hiyo inafanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma, UDOM.

Michezo mingine inayoendelea jioni hii ni kati ya Mbeya City dhidi ya Mbao FC na Mwadui FC dhidi ya Majimaji.

Yanga imepangwa kundi A sambamba na Ruvu Shooting, Mbeya City na Mbao FC.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’