Baada ya mapumziko ya takribani wiki moja, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za mwishoni mwa msimu.
Nyota ambao hawana majukumu ya timu za Taifa wameshiriki mazoezi hayo KMC Complex.







ADVERTISE HERE