Kariakoo Derby ya U17 inapigwa Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jun 2026
Kariakoo Derby ya U17 inapigwa Jumamosi

Ligi Kuu ya soka la vijana U17 inaendele ambapo kesho Jumamosi, Juni 06 vijana wa Yanga wataumana na wenzao wa Simba mchezo utakaopigwa kituo cha ufundi cha TFF Kigamboni jijini Dar es salaam.

Vijana wa Yanga U17 wameanza vyema msimu wakishinda mechi nne kati ya tano walizocheza mpaka sasa wakishika nafasi ya 3 na alama 12.

Simba U17 wanaongoza ligi wakiwa na alama 16 baada ya kucheza mechi 6. Hakuna mechi nyepesi zinapokutana Yanga na Simba hivyo kitaumana Kigamboni kesho..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’