Wachezaji watano Yanga wajumuishwa Zanzibar Heroes

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2026
Wachezaji watano Yanga wajumuishwa Zanzibar Heroes

Timu ya Taifa ya Zanzibar ' Zanzibar Heroes', Juni 11 natarajiwa kucheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda, 'Uganda Cranes'.

Katika kikosi cha Zanzibar Heroes, wachezaji watano wa Yanga wamejumuishwa katika kikosi hicho ambao ni Ibrahim Bacca, Ninju, Mudathir Yahya, Casemiro na Shekhan Khamis.

Aidha kwenye kikosi cha Uganda Cranes yumo kiungo mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello.

Ratiba ya mchezo huo inaweza kuwa changamoto kwa nyota wa Yanga kwani Juni 13 wanatakiwa kuwa mkoani Kigoma kuikabili Mashujaa Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC.

Mchezo huo utapigwa saa 12:15, Juni 11 jioni uwanja wa New Amaan Complex

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’