Dozi ya Mashujaa Fc inakamilishwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2026
Dozi ya Mashujaa Fc inakamilishwa

Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi yake kabla ya kuelekea mkoani Kigoma tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc.

Yanga inatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi ambapo watakuwa na siku moja ya kukamilisha maandalizi yao ya mwisho mkoani Kigoma tayari kwa mtanange huo utakaopigwa Jumamosi uwanja wa Lake Tanganyika

Ni mechi za lala salama ambazo alama tatu pekee ndizo zinazohitajika. Kocha Abdihamid Moalin na vijana wake wamepata muda wa kutosha kujiandaa na mchezo huo ambapo wachezaji ambao hawakuwa na majukumu ya timu za Taifa wamefanya mazoezi makali asubuhi na jioni kwa takribani siku 10.

Ni wazi Yanga itasafiri Kigoma ikiwa na dhamira moja tu, kwenda kuchukua alama tatu na kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’