Baada ya kuwasili mkoani Arusha mapema leo, hakuna muda wa kupoteza kwa Wananchi kwani jioni kikosi cha Yanga kilendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate.
Mtanange huo utapigwa Alhamisi, Juni 18 uwanja wa Sheikh Amri Abeid.









ADVERTISE HERE