Dozi ya Fountain Gate imekamilishwa Sheikh Amri Abeid

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2026
Dozi ya Fountain Gate imekamilishwa Sheikh Amri Abeid

Jioni hii Yanga imekamilisha maandalizi yake uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate.

Kesho Alhamisi, Yanga watakuwa wageni wa Fountain Gate katika mchezo utakaopigwa saa 10 jioni.

Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine na Makamu wa Rais Arafat Haji leo walikuwa sehemu ya walioshuhudia mazoezi hayo ya mwisho.

Yanga inahitaji ushindi ili kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya watani zao Simba kupata ushindi dhidi ya Mbeya City leo na kufikisha alama 64.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
16h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
17h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
18h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’