Baada ya ushindi muhimu wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate jana, kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Arusha kuelekea Mwanza tayari kwa mchezo wa nusu fainali kombe la CRDB dhidi ya Azam Fc.
Jumapili Juni 21 Yanga na Azam Fc zitaumana kwenye mpambano mkali utakaopigwa dimba la CCM Kirumba kusaka tiketi ya fainali kombe la CRDB.







ADVERTISE HERE