Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Mwanza tayari kwa mchezo wa nusu fainali kombe la CRDB dhidi ya Azam Fc.
Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa michuano hiyo, watakuwa wakiisaka tiketi ya fainali kwa msimu wa sita mfululizo katika dimba la CCM Kirumba siku ya Jumapili Juni 21.
Yanga imeunganisha safari kutokea mkoani Arusha, Dar na kuelekea jijini Mwanza.




ADVERTISE HERE