Abushir awakosha mabosi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jun 2026
Abushir awakosha mabosi Yanga

Kiungo mshambuliaji wa Fountain Gate Juma Issa Abushir juzi alikuwa miongoni mwa wachezaji wa timu hiyo waliong'ara katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Abushir maarufu 'Chuga Boy' amekuwa mmoja wa wachezaji tegemeo wa kikosi cha Fountain Gate akitabiriwa makubwa siku za usoni.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe hakusita kumwagia sifa Abushir ambaye ni mahiri kwenye matumizi ya guu lake la kushoto.

"Mimi nawaomba Fountain Gate wamtunze. Ni kijana mzuri, wamlinde asichanganyike changanyike na vitu vingi, anaweza kuwa msaada kwa Taifa hata kwenye AFCON," alisema Kamwe

Kuna tetesi kuwa mabosi wa Yanga wamemuweka kwenye mipango kinda huyo na anaweza kuibukia Jangwani pale msimu huu utakapofika tamati

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’