Kombe limefika kwa GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jul 2026
Kombe limefika kwa GSM

Yanga Bingwa! Ndio kauli ambayo Mfadhili/Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamed 'GSM' amekuwa akitumia kila wakati anapopata nafasi ya kuzungumza mbele ya wanahabari.

Kauli hiyo imetekelezwa kwa vitendo kwa msimu wa tano mfululizo jana Yanga ikitetea taji la ligi kuu baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania na kufikisha alama 75.

Hatimaye taji likafikishwa kwake na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’