Injinia wa makombe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jul 2026
Injinia wa makombe

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said anaweza kuwa kiongozi mwenye mafanikio zaidi kwenye historia ya mpira wa miguu hapa Tanzania, ameandika Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe

Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake, Injinia Hersi amewaongoza Wananchi kutwaa jumla ya makombe 15 ya mashindano ya ndani.

Kwenye michuano ya CAF, Hersi ameitoa klabu ya Yanga kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara tatu mfululizo.

Awali, hakuna klabu Tanzania iliyowahi kucheza hatua ya makundi mara tatu mfululizo Ligi ya Mabingwa.

Ilionekana haiwezekani mpaka Wanayanga walipompa Hersi kiti cha kuiongoza Yanga yao. Kama haitoshi, kwenye Kipindi cha miaka minne, Hersi ameipa Yanga heshima ya MEDALI YA CAF kupitia Kombe la Shirikisho Afrika Baada ya YANGA kupoteza mchezo wa fainali kwa sheria ya goli la ugenini.

Huyu ndio Injinia Hersi Said ambaye hata katika msimu ambayo Yanga ilionekana kuwa chini bado Wananchi wameumaliza kwa kubeba makombe manne

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’