Kamati Maalum Yanga yakutana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jun 2018
Kamati Maalum Yanga yakutana
Kamati iliyoundwa na klabu ya Yanga kusimamia masuala ya usajili na mikataba ya wachezaji imekutana jana kuandaa mkakati wa kazi.

Mmoja wa Wajumbe wa Kamati hiyo Ridhiwani Kikwete amethibitisha kufanyika kwa kikao hicho ambacho hata hivyo yeye hakuhudhuria kutokana na kukabiliwa na majukumu ya kibunge.

Ridhiwani amesema hicho ni kikao cha kwanza kufanyika tangu kuundwa kwa Kamati hiyo ambayo kazi yake kubwa ni kuhakikisha inairejeshea Yanga makali yake kwa kukusanya fedha za kutosha kukamilisha masuala ya usajili.

Kamati hiyo pia itashughulikia masuala ya mikataba ya wachezaji wanaobaki Yanga.

Kamati hiyo inaongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Abbas Tarimba ambaye anasaidiwa na Said Mecky Sadiq.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’