Damaro kurejea Singida BS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jul 2026
Damaro kurejea Singida BS

Klabu ya Yanga inatarajiwa kuingia sokoni kusaka kiungo mkabaji baada ya kuachana na mpango wa kumsajili kiungo Mohamed Damaro Camaro aliyetua dirisha dogo kwa mkopo akitokea klabu ya Singida BS.

Damaro amewatumikia Wananchi kwa miezi 6 lakini ni wazi uamuzi wa kumruhusu arejee Singida BS umefikiwa kutokana na mahitaji makubwa ya Yanga kuboresha eneo hilo.

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said jana aliahidi maboresho makubwa katika dirisha hili la usajili linalotarajiwa kufunguliwa karibuni.

Akizungumza jana baada ya shamrashamra za ubingwa wa tano mfululizo, Hersi alisema msimu uliopita waliyumba kidogo kutokana na baadhi ya sajili kushindwa kungia kikosini.

Hersi amewaahidi Wanayanga kuwa wanakwenda kufanya maboresho makubwa ili kuhakikisha msimu ujao wanarejesha mataji yote yaliyopotea msimu huu.

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
34m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
59m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’