Mavugo athibitisha kuwaniwa na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jun 2018
Mavugo athibitisha kuwaniwa na Yanga
Mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake Laudirt Mavugo amesema Yanga ni moja ya timu zinazomuwania kumsajili kwa ajili ya msimu ujao.

Mkataba wa mshambuliaji huyo na klabu ya Simba unamalizika Julai 05, 2018 na amekataa ofa ya kuuongeza mkataba kwa mwaka mmoja iliyotolewa na klabu hiyo.

Mbali na Yanga, Mavugo amezitaja Singida United, Gor Mahia na AFC Leopards kuwa timu nyingine zilizowasilisha ofa mezani.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’