Assink amemaliza mkataba wa mkopo Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jul 2026
Assink amemaliza mkataba wa mkopo Yanga

Beki Frank Assink amemaliza mkataba wake wa mkopo wa msimu mzima kunako klabu ya Yanga.

Assink alitua Yanga msimu uliopita kwa mkopo ambao ulifikia tamati Juni 30 baada ya kutamatika kwa ligi kuu ya NBC.

Yanga haijafungua mazungumzo yoyote na beki huyo wa Ghana na huenda akarejea kwa waajiri wake, Singida BS.

Inaelezwa mabosi wa Yanga wanatarajia kusajili beki wa ndani kwenye nafasi yake ili nafasi hiyo itumike kuongeza nguvu maeneo ambayo yatahitaji mchezaji wa kigeni hasa safu ya ushambuliaji.

Mabingwa hao wa soka nchini wanahusishwa na beki na nahodha wa TRA United Nasri Kombo ambaye inaelezwa tayari Wananchi wamemalizana nae.

Msimu uliomalizika Yanga ilikumbwa na changamoto kwenye safu yake ya ulinzi hasa baada ya nahodha msaidizi Dickson Job kupata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Simba March 1.

Job anatarajiwa kurejea kwenye majukumu yake wakati wa maandalizi ya pre-season.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’