Baada ya zoezi la kuunda benchi la ufundi kukamilika, nyota wa Yanga leo wamefanyiwa vipimo vya afya tayari kuanza maandalizi ya msimu wa mashindano 2026/27.
Kikosi cha Yanga kitafanya maandalizi yake Avic Town, ambapo wachezaji wote wataingia kambini baada ya zoezi la kupimwa afya kukamilika.






ADVERTISE HERE