Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea Geita kwenda kushiriki uzinduzi wa Biteko Stadium uliopo Ushirombo, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya uzinduzi wa wiki ya Mwananchi.

ADVERTISE HERE