Depu ndio basi tena Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Aug 2026
Depu ndio basi tena Yanga

Klabu ya Yanga iko kwenye hatua za mwisho kuachana na mshambuliaji Laurindo Aurelio 'Depu', imefahamika.

Yanga imefikia uamuzi wa kuachana na Depu baada ya kukamilisha usajili wa washambuliaji wa kigeni Cheikh Ibrahima Toure na Peter Shalulile.

Aidha baada ya Yanga kumsajili beki wa kati Farouk Komara, usajili wake unafanya Yanga iwe na wachezaji 13 wa kigeni.

Depu kutua Petro Atletico

Yanga imemruhusu Depu kufanya mazungumzo na klabu ya Petro Atletico ya Angola ambayo imeonyesha nia ya kumuhitaji.

Kama makubaliano yatafikiwa ni wazi Yanga itamruhusu Depu ajiunge na waajiri wake hao wa zamani taarifa za ndani zikibainisha kuwa watamnunua kwa dau linaloweza kufikia hadi Tsh Bilioni 1.3

Taarifa zaidi imebainisha kuwa AS FAR inayonolewa na kocha wa zamani wa Yanga Pedro Goncalves nayo imeulizia upatikanaji wake.

Goncalves ndiye aliyefanikisha usajili wa Depu kujiunga na mabingwa hao wa soka Tanzania Bara kwenye usajili wa dirisha dogo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’