Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye jezi za klabu ya Yanga zinatarajiwa kuzinduliwa wakati wowote.
Mpaka kufikia Alhamisi, August 06, Wananchi watakuwa wameufahamu uzi wao rasmi wa msimu wa 2026/27.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ametamba kuwa jezi hizo ni bora na zenye viwango vya Kimataifa, mbunifu wake ametokea Ufaransa.
Kamwe amewataka Wananchi kuwa tayari kwa tukio kubwa ambalo litajiri ndani ya saa 6 zijazo

ADVERTISE HERE