Droo ya hatua za awali CAFCL na CAFCC kufanyika leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Aug 2026
Droo ya hatua za awali CAFCL na CAFCC kufanyika leo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) leo Alhamisi, Agosti 6, 2026, linafanya droo ya hatua za awali za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League - CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup - CAFCC) kwa msimu wa 2026/2027.

Hafla hiyo itafanyika katika makao makuu ya CAF jijini Cairo, Misri, na itarushwa mubashara (LIVE), huku klabu zote shiriki zikisubiri kufahamu wapinzani wao katika raundi ya kwanza ya michuano hiyo.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Idara ya Mashindano ya CAF, droo ya Kombe la Shirikisho (CAFCC) itaanza saa 8:00 mchana kwa saa za Afrika Mashariki (EAT), kabla ya kufuatiwa na droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) saa 9:00 alasiri.

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, pamoja na watani wao Simba SC, wataiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Nazo Azam FC na Singida Black Stars zitashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).

Azam Fc wao wataanzia raundi ya kwanza kombe la Shirikisho wakati timu nyingine zikianzia hatua ya awali.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’