Wata pleya wa mwisho anatambulishwa Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Aug 2026
Wata pleya wa mwisho anatambulishwa Jumapili

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ameweka msisitizo kuwa klabu hiyo bado haijafunga usajili ambapo mchezaji wa mwisho atatambulishwa siku ya Jumapili kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi (Yanga Day).

Kamwe amesema ni ahadi iliyotolewa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ambaye siku ya Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga alidokeza maelekezo kutoka kwa mdhamini wa klabu hiyo GSM kuhusu kumalizana na mchezaji 'aliyekuwa akiwasumbua'

"Niwaambie Wanayanga msiponunua tiketi mapema mkategemea mnunue Jumamosi, mnaweza kulikosa tukio hili la kihistoria."

"Ni tukio kubwa ambalo linakwenda kuweka standard nyingine ya Yanga kwenye ubora wa matukio yake."

"Siku hiyo tunakwena na 6/3, tumeahidi Jumapili Yanga ndio tunakwenda kufunga usajili, wako watu wanafanya mazoezi na mchezaji wetu, wanapiga nae picha, video, wanachat na kuwasiliana nae lakini Jumapili watamuona pale uwanja wa Uhuru akitabulishwa Yanga Afrika."

"Ni usajili wetu wa mwisho tunakwenda kufunga," alitamba Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’