Yanga mpya imetambulishwa, Kamwe ametisha!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2026
Yanga mpya imetambulishwa, Kamwe ametisha!

Meneja wa habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ameongoza utambulisho wa wachezaji katika tukio kubwa la Wananchi YANGA DAY uwanja wa Uhuru.

Utambulisho huo ulikwenda sambamba na kutangaza taarifa njema kwa Wananchi baada ya wachezaji muhimu kuongeza mikataba.

Wachezaji hao ni nahodha Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Yao Kouassi na Djigui Diarra ambaye ameongeza mkataba wa miaka miwili.

Kwa mara nyingine Yanga imetoa elimu jinsi ya kuandaa matamasha makubwa ya burudani!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’