Kombe la Shirikisho litakavyoinufaisha Yanga msimu ujao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2018
Kombe la Shirikisho litakavyoinufaisha Yanga msimu ujao
Yanga inatarajiwa kuanza maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia wiki ijayo Juni 25, yakiwa pia ni maandalizi ya kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom.

Ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2018/19 ambayo itashirikisha timu 20 huenda ikaanza kati ya Aug 11 na August 19 wakati huo Yanga ikiwa inamilisha michezo yake miwili ya kombe la Shirikisho.

Michuano hiyo ya kombe la Shirikisho itainufaisha Yanga kwani watanza ligi wakiwa tayari wana kasi ya kushindana.

Msimu uliomalizika Yanga ilianza ligi kwa mwendo wa kusuasua baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Lipuli FC kwenye uwanja wa Uhuru.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’