Video Support kutumika Yanga vs Simba Ngao ya Jamii Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2026
Video Support kutumika Yanga vs Simba Ngao ya Jamii Zanzibar

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa mfumo wa usaidizi wa waamuzi Video Support 'VS' utatumika kwa mara ya kwanza hapo kesho kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa New Amaan Complex.

Hii itakuwa mara ya kwanza kwa mfumo huo kutumika ikiwa ni mwanzo wa matumizi ambayo pia yatashuhudiwa kwenye asilimia 75 ya mechi za ligi kuu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’